Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 18:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 wala hakumdhulumu mtu, wala hakutwaa kitu kiwekwe rehani, wala hakumnyang'anya mtu mali yake kwa nguvu, bali amewapa wenye njaa chakula chake, na kuwafunika nguo walio uchi;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 hampunji mtu yeyote, hashiki rehani, hanyanganyi watu mali zao, bali huwapa chakula wenye njaa na kumvalisha aliye uchi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 hampunji mtu yeyote, hashiki rehani, hanyanganyi watu mali zao, bali huwapa chakula wenye njaa na kumvalisha aliye uchi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 hampunji mtu yeyote, hashiki rehani, hanyang'anyi watu mali zao, bali huwapa chakula wenye njaa na kumvalisha aliye uchi,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Hamdhulumu yeyote wala kutaka rehani kwa ajili ya mkopo. Hanyang’anyi, bali huwapa wenye njaa chakula chake na huwapa nguo walio uchi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Hakumwonea mtu yeyote wala hakutaka rehani kwa ajili ya mkopo. Hanyang’anyi, bali huwapa wenye njaa chakula chake na huwapa nguo walio uchi.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 18:16
18 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa kuwa umetwaa dhamana kwa nduguyo bure, Na kuwavua nguo zao walio uchi.


Hukumpa maji ya kunywa huyo aliyechoka, Nawe umemnyima chakula huyo mwenye njaa.


Ikiwa nimewanyima maskini haja zao, Au kama nimeyatia kiwi macho ya mwanamke mjane;


Ikiwa nimemwona mtu kuangamia kwa kukosa nguo, Au wahitaji kukosa mavazi;


Ikiwa viuno vyake havikunibariki, Au kama hakupata moto kwa manyoya ya kondoo wangu;


Heri amkumbukaye mnyonge; BWANA atamwokoa siku ya taabu.


Mwenye jicho la ukarimu atabarikiwa; Maana huwapa maskini chakula chake.


Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe maji ya kunywa;


Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.


na kuwadhulumu maskini na wahitaji, na kuwanyang'anya watu mali yao kwa nguvu, wala hakurudisha rehani, naye ameviinulia macho vinyago, na kufanya machukizo,


hakula juu ya milima, wala hakuviinulia macho vinyago vya nyumba ya Israeli, wala hakumtia unajisi mke wa jirani yake,


wala hakumdhulumu mtu, bali amemrudishia mdeni wake rehani yake, wala hakumnyang'anya mtu mali yake kwa nguvu, naye amewapa wenye njaa chakula chake, na kuwavika nguo walio uchi;


kwa maana nilikuwa na njaa, mkanipa chakula; nilikuwa na kiu, mkaninywesha; nilikuwa mgeni, mkanikaribisha;


nilikuwa uchi, mkanivika nilikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama; nilikuwa kifungoni, mkanijia.


Lakini, toeni sadaka vile vya ndani, na tazama, vyote huwa safi kwenu.


Bali ufanyapo karamu waite maskini, vilema, viwete, vipofu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo