Ezekieli 18:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 na kuwadhulumu maskini na wahitaji, na kuwanyang'anya watu mali yao kwa nguvu, wala hakurudisha rehani, naye ameviinulia macho vinyago, na kufanya machukizo, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 anawadhulumu maskini na fukara, anaiba, harudishi rehani, anaziabudu sanamu za miungu na kufanya machukizo, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 anawadhulumu maskini na fukara, anaiba, harudishi rehani, anaziabudu sanamu za miungu na kufanya machukizo, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 anawadhulumu maskini na fukara, anaiba, harudishi rehani, anaziabudu sanamu za miungu na kufanya machukizo, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Huwadhulumu maskini na wahitaji. Hunyang’anyana. Harudishi kile kilichowekwa rehani kwake. Huziinulia sanamu macho. Hufanya mambo ya machukizo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Huwaonea maskini na wahitaji. Hunyang’anyana. Harudishi kile kilichowekwa rehani kwake. Huziinulia sanamu macho. Hufanya mambo ya machukizo. Tazama sura |