Ezekieli 16:60 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC60 Walakini nitalikumbuka agano langu nililolifanya pamoja nawe, katika siku za ujana wako, nami nitaweka imara agano la milele pamoja nawe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema60 Lakini mimi nitalikumbuka agano langu nililoagana nawe katika siku za ujana wako. Nitafanya nawe agano la milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND60 Lakini mimi nitalikumbuka agano langu nililoagana nawe katika siku za ujana wako. Nitafanya nawe agano la milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza60 Lakini mimi nitalikumbuka agano langu nililoagana nawe katika siku za ujana wako. Nitafanya nawe agano la milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu60 Lakini nitakumbuka agano nililolifanya nawe wakati wa ujana wako, nami nitaweka nawe agano imara la milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu60 Lakini nitakumbuka Agano nililolifanya nawe wakati wa ujana wako, nami nitaweka nawe Agano imara la milele. Tazama sura |