Ezekieli 16:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Nami nilipopita karibu nawe, nikakuona ukigaagaa katika damu yako, nilikuambia, Ulipokuwa katika damu yako, uwe hai; naam, nilikuambia, Ulipokuwa katika damu yako, uwe hai. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 “Mimi nilipopita karibu nawe, nikakuona ukigaagaa katika damu yako, nilikuambia, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 “Mimi nilipopita karibu nawe, nikakuona ukigaagaa katika damu yako, nilikuambia, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 “Mimi nilipopita karibu nawe, nikakuona ukigaagaa katika damu yako, nilikuambia, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 “ ‘Nami nikapita karibu nawe nikakuona ukigaagaa kwenye damu yako, nawe ulipokuwa umelala hapo penye hiyo damu nikakuambia, “Ishi!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 “ ‘Ndipo nilipopita karibu nawe nikakuona ukigaagaa kwenye damu yako, nawe ulipokuwa umelala hapo penye hiyo damu nikakuambia, “Ishi!” Tazama sura |