Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 16:58 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

58 Yakupasa kupata adhabu ya uasherati wako, na machukizo yako, asema BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

58 Adhabu ya uchafu wa tabia na machukizo yako utaibeba wewe mwenyewe. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

58 Adhabu ya uchafu wa tabia na machukizo yako utaibeba wewe mwenyewe. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

58 Adhabu ya uchafu wa tabia na machukizo yako utaibeba wewe mwenyewe. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

58 Utachukua matokeo ya uasherati wako na matendo yako ya kuchukiza, asema Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

58 Utachukua matokeo ya uasherati wako na matendo yako ya kuchukiza, asema bwana.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 16:58
5 Marejeleo ya Msalaba  

Kaini akamwambia BWANA, Adhabu yangu imeniwia kubwa, haichukuliki.


Baba zetu walitenda dhambi hata hawako; Na sisi tumeyachukua maovu yao.


Kwa sababu hukuzikumbuka siku za ujana wako, bali umenikasirisha kwa mambo hayo yote; basi, tazama, mimi nami nitaleta matendo yako juu ya kichwa chako, asema Bwana MUNGU; wala hutafanya uasherati zaidi ya machukizo yako yote.


Maana Bwana MUNGU asema hivi; Nitakutenda vile vile kama ulivyotenda, uliyekidharau kiapo kwa kulivunja agano.


Nao watawalipa ninyi malipo ya uasherati wenu, nanyi mtachukua dhambi za vinyago vyenu; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi Bwana MUNGU.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo