Ezekieli 16:50 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC50 Nao walijivuna, wakafanya machukizo mbele zangu; kwa sababu hiyo niliwaondoa hapo nilipoyaona. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema50 Walijivuna, wakafanya machukizo mbele yangu. Kwa hiyo niliwaangamiza mara tu nilipoyaona hayo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND50 Walijivuna, wakafanya machukizo mbele yangu. Kwa hiyo niliwaangamiza mara tu nilipoyaona hayo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza50 Walijivuna, wakafanya machukizo mbele yangu. Kwa hiyo niliwaangamiza mara tu nilipoyaona hayo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu50 Walijivuna na kufanya mambo ya kuchukiza sana mbele zangu. Kwa hiyo niliwakatilia mbali nami kama mlivyoona. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu50 Walijivuna na kufanya mambo ya machukizo sana mbele zangu. Kwa hiyo niliwakatilia mbali nami kama mlivyoona. Tazama sura |