Ezekieli 16:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Nikakupamba kwa mapambo pia, nikatia vikuku mikononi mwako, na mkufu shingoni mwako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Nikakupamba kwa vito, nikakuvika bangili mikononi mwako na mkufu shingoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Nikakupamba kwa vito, nikakuvika bangili mikononi mwako na mkufu shingoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Nikakupamba kwa vito, nikakuvika bangili mikononi mwako na mkufu shingoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Nikakupamba kwa vito: nikakuvika bangili mikononi mwako na mkufu shingoni mwako, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Nikakupamba kwa vito: nikakuvika bangili mikononi mwako na mkufu shingoni mwako, Tazama sura |
Mfalme akalia kwa sauti kubwa, akaamuru waletwe wachawi, na Wakaldayo na wanajimu. Mfalme akanena, akawaambia wenye hekima wa Babeli, mtu awaye yote atakayesoma maandiko haya, na kunionesha tafsiri yake, atavikwa mavazi ya rangi ya zambarau, na kuwa na mkufu wa dhahabu shingoni mwake, naye atakuwa mtu wa tatu katika ufalme.