Ezekieli 14:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Nao watauchukua uovu wao; uovu wa nabii utakuwa sawasawa na uovu wake yule amwendeaye aulize neno; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Nitamwadhibu huyo nabii pamoja na huyo mtu aliyekuja kumwuliza matakwa yangu; wote watapata adhabu ileile, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Nitamwadhibu huyo nabii pamoja na huyo mtu aliyekuja kumwuliza matakwa yangu; wote watapata adhabu ileile, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Nitamwadhibu huyo nabii pamoja na huyo mtu aliyekuja kumwuliza matakwa yangu; wote watapata adhabu ileile, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Watawajibika kwa hatia yao: nabii atakuwa na hatia sawa na yule mtu aliyekuja kuuliza neno kwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Watachukua hatia yao, nabii atakuwa na hatia sawa na yule mtu aliyekuja kuuliza neno kwake. Tazama sura |