Ezekieli 13:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Je! Hamkuona maono ya bure, hamkunena ubashiri wa uongo? Nanyi mwasema, BWANA asema; ila mimi sikusema neno. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Basi, nawaulizeni: Je, maono yenu si uongo mtupu na utabiri wenu udanganyifu? Nyinyi mnadai kwamba mnasema kwa jina langu hali mimi sijaongea nanyi kamwe! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Basi, nawaulizeni: Je, maono yenu si uongo mtupu na utabiri wenu udanganyifu? Nyinyi mnadai kwamba mnasema kwa jina langu hali mimi sijaongea nanyi kamwe! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Basi, nawaulizeni: Je, maono yenu si uongo mtupu na utabiri wenu udanganyifu? Nyinyi mnadai kwamba mnasema kwa jina langu hali mimi sijaongea nanyi kamwe! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Je, hamjaona maono ya uongo na kusema ubashiri wa udanganyifu, hapo msemapo, “Mwenyezi Mungu asema”, wakati Mimi sijasema? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Je, hamjaona maono ya uongo na kusema ubashiri wa udanganyifu hapo msemapo, “bwana asema,” lakini Mimi sijasema? Tazama sura |