Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ezekieli 12:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Kwa maana hayatakuwapo tena maono yoyote ya ubatili, wala ubashiri wa kujipendekeza, katika nyumba ya Israeli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Maana hapatakuwa tena na maono ya uongo au kupiga bao miongoni mwa Waisraeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Maana hapatakuwa tena na maono ya uongo au kupiga bao miongoni mwa Waisraeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Maana hapatakuwa tena na maono ya uongo au kupiga bao miongoni mwa Waisraeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Kwa maana hapatakuwa tena na maono ya uongo wala ubashiri wa kujipendekeza miongoni mwa watu wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Kwa maana hapatakuwepo tena na maono ya uongo wala ubashiri wa udanganyifu miongoni mwa watu wa Israeli.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 12:24
12 Marejeleo ya Msalaba  

Akasema, Niliwaona Waisraeli wote wametawanyika milimani, kama kondoo wasio na mchungaji. BWANA akasema, Hawa hawana bwana; na warudi kila mtu nyumbani kwake kwa amani.


Ulimi unenao uongo huwachukia wale uliowajeruhi; Na kinywa cha kujipendekeza hutenda uharibifu.


Manabii wako wameona maono kwa ajili yako Ya ubatili na upumbavu Wala hawakufunua uovu wako, Wapate kurudisha kufungwa kwako; Bali wameona mabashiri ya ubatili kwa ajili yako Na sababu za kuhamishwa.


basi, kwa sababu hiyo ninyi hamtaona tena ubatili, wala kutabiri mambo; nami nitawaokoa watu wangu katika mikono yenu; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.


Wameona ubatili, na uganga wa uongo, hao wasemao, BWANA asema; lakini BWANA hakuwatuma; nao wamewapa watu tumaini ya kuwa neno lile litatimizwa.


Kwa sababu walio hivyo hawamtumikii Bwana wetu Kristo, bali matumbo yao wenyewe; na kwa maneno laini na ya kujipendekeza waidanganya mioyo ya watu wanyofu.


Maana hatukuwa na maneno ya kujipendekeza wakati wowote, kama mjuavyo, wala maneno ya juu juu ya kuficha choyo; Mungu ni shahidi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo