Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Ezekieli 11:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 Ninyi mmeuogopa upanga; nami nitauleta upanga juu yenu, asema Bwana MUNGU.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Nyinyi mmeogopa upanga? Basi, mimi nitaleta upanga dhidi yenu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Nyinyi mmeogopa upanga? Basi, mimi nitaleta upanga dhidi yenu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Nyinyi mmeogopa upanga? Basi, mimi nitaleta upanga dhidi yenu!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Mnaogopa upanga, nao upanga huo ndio nitakaouleta dhidi yenu, asema Bwana Mungu Mwenyezi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Mnaogopa upanga, nao upanga huo ndio nitakaouleta juu yenu, asema bwana Mwenyezi.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 11:8
13 Marejeleo ya Msalaba  

Ataikimbia silaha ya chuma, Na uta wa shaba utamchoma.


Maana jambo hilo nichalo hunipata, Nalo linitialo hofu hunijia.


Aogopacho mtu asiye haki ndicho kitakachomjilia; Na wenye haki watapewa matakwa yao.


Mimi nami nitachagua mapigo yao, nitaleta hofu zao juu yao; kwa sababu nilipoita, hawakuitika; na niliponena, hawakusikia; bali walifanya yaliyo maovu machoni pangu, na kuyachagua nisiyoyafurahia.


Haya ndiyo yatakayowapata watu wote waelekezao nyuso zao kwenda Misri, na kukaa huko; watakufa kwa upanga, na kwa njaa, na kwa tauni; hakuna mtu awaye yote miongoni mwao atakayesalia, au kuokoka katika mabaya nitakayoyaleta juu yao.


Tukimwacha hivi, watu wote watamwamini; na Warumi watakuja, watatuondolea mahali petu na taifa letu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo