Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Ezekieli 11:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

25 Ndipo nikawaambia watu wa uhamisho habari ya mambo yote aliyonionesha BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Hapo nikawaeleza wale waliokuwa uhamishoni mambo yote aliyonionesha Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Hapo nikawaeleza wale waliokuwa uhamishoni mambo yote aliyonionesha Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Hapo nikawaeleza wale waliokuwa uhamishoni mambo yote aliyonionesha Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 nami nikawaeleza wale watu wa uhamisho kila kitu Mwenyezi Mungu alichokuwa amenionesha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 nami nikawaeleza wale watu wa uhamisho kila kitu bwana alichokuwa amenionyesha.

Tazama sura Nakili




Ezekieli 11:25
5 Marejeleo ya Msalaba  

Neno la BWANA likanijia tena, kusema,


Nawe utawaambia maneno yangu, iwe watasikia au hawataki kusikia; maana hao wanaasi sana.


Mwanadamu, nimekuweka kuwa mlinzi wa nyumba ya Israeli; basi, sikia neno hili litokalo katika kinywa changu, ukawape maonyo haya yatokayo kwangu.


Lakini hapo nitakaposema nawe, nitafumbua kinywa chako, nawe utawaambia, Bwana MUNGU asema hivi. Yeye asikiaye na asikie; naye akataaye na akatae; maana wao ni nyumba yenye kuasi.


Akaniambia, Mwanadamu, haya! Waendee wana wa Israeli ukawaambie maneno yangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo