Ezekieli 11:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Nao watafika huko, nao wataondolea mbali vitu vyake vyote vichukizavyo, na machukizo yake yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Nanyi mtakaporudi nchini mwenu nitaondoa vitu vyote vichafu na machukizo yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Nanyi mtakaporudi nchini mwenu nitaondoa vitu vyote vichafu na machukizo yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Nanyi mtakaporudi nchini mwenu nitaondoa vitu vyote vichafu na machukizo yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 “Watairudia nchi na kuondoa vinyago vyote vya upotovu na sanamu zote za kuchukiza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 “Watairudia nchi na kuondoa vinyago vyote vya upotovu na sanamu zote za machukizo. Tazama sura |