Ezekieli 1:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Nao walikuwa na mikono ya mwanadamu chini ya mabawa yao, pande zote nne; na wote wanne walikuwa na nyuso zao na mabawa yao hivi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Walikuwa na mikono ya binadamu chini ya mabawa yao katika pande zao nne. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Walikuwa na mikono ya binadamu chini ya mabawa yao katika pande zao nne. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Walikuwa na mikono ya binadamu chini ya mabawa yao katika pande zao nne. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Chini ya mabawa yao katika pande zao nne walikuwa na mikono ya mwanadamu. Wote wanne walikuwa na nyuso na mabawa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Chini ya mabawa yao katika pande zao nne walikuwa na mikono ya mwanadamu. Wote wanne walikuwa na nyuso na mabawa, Tazama sura |
Naye akanyosha mfano wa mkono, akanishika kwa kishungi kimoja cha nywele za kichwa changu; nayo roho ikaniinua kati ya dunia na mbingu, ikanileta katika maono ya Mungu mpaka Yerusalemu, mpaka mlango wa kuingilia ua wa ndani uelekeao upande wa kaskazini; mahali palipokuwa pamewekwa sanamu ya wivu, itiayo wivu.