Ezekieli 1:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Tena palikuwa na sauti juu ya anga lile, lililokuwa juu ya vichwa vyao; hapo waliposimama walishusha mabawa yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Nilisikia sauti kutoka juu ya kitu kile kama anga kilichokuwa juu ya vichwa vyao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Nilisikia sauti kutoka juu ya kitu kile kama anga kilichokuwa juu ya vichwa vyao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Nilisikia sauti kutoka juu ya kitu kile kama anga kilichokuwa juu ya vichwa vyao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Ndipo ikaja sauti toka juu ya ile nafasi ya wazi iliyokuwa juu ya vichwa vyao, waliposimama mabawa yao yakiwa yameshushwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Ndipo ikaja sauti toka juu ya ile nafasi ya wazi iliyokuwa juu ya vichwa vyao, waliposimama mabawa yao yakiwa yameshushwa. Tazama sura |