Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Ezekieli 1:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

23 Na chini ya anga mabawa yao yamenyoshwa, moja kulielekea la pili; kila mmoja alikuwa na mawili yaliyowafunika miili yao upande mmoja, na kila mmoja alikuwa na mawili yaliyowafunika miili yao upande wa pili.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Chini ya kitu hicho walisimama hao viumbe hai; mabawa mawili ya hao viumbe yalikuwa yamekunjuliwa kuelekeana, na kwa mabawa mengine mawili walifunika miili yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Chini ya kitu hicho walisimama hao viumbe hai; mabawa mawili ya hao viumbe yalikuwa yamekunjuliwa kuelekeana, na kwa mabawa mengine mawili walifunika miili yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Chini ya kitu hicho walisimama hao viumbe hai; mabawa mawili ya hao viumbe yalikuwa yamekunjuliwa kuelekeana, na kwa mabawa mengine mawili walifunika miili yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Chini ya hiyo nafasi, mabawa yao yalitanda moja kuelekea lingine, na kila mmoja alikuwa na mabawa mawili yaliyofunika mwili wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Chini ya hiyo nafasi mabawa yao yalitanda moja kuelekea jingine, kila mmoja alikuwa na mabawa mengine mawili yaliyofunika mwili wake.

Tazama sura Nakili

Ezekieli 1:23
6 Marejeleo ya Msalaba  

Tazama, yeye hawategemei watumishi wake; Na malaika wake huwahesabia kosa;

Mungu huogopwa sana barazani pa watakatifu, Ni wa kuhofiwa kuliko wote wanaomzunguka.

Nao walipokwenda nilisikia mshindo wa mabawa yao, kama mshindo wa maji makuu, kama sauti yake Mwenyezi, mshindo wa mvumo, kama mshindo wa jeshi; hapo waliposimama walishusha mabawa yao.

Na kila mmoja alikuwa na nyuso nne, na kila mmoja alikuwa na mabawa manne.

Vivyo hivyo nanyi, mtakapokwisha kuyafanya yote mliyoagizwa, semeni, Sisi tu watumwa wasio na faida; tumefanya tu yaliyotupasa kufanya.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo