Ezekieli 1:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Katika habari za vivimbe vyake; vilikuwa virefu, vya kutisha; nayo yote manne, vivimbe vyake vimejaa macho pande zote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Mizingo ya hayo magurudumu ilikuwa mirefu kutisha na mizingo ya magurudumu hayo ilikuwa imejaa macho pande zote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Mizingo ya hayo magurudumu ilikuwa mirefu kutisha na mizingo ya magurudumu hayo ilikuwa imejaa macho pande zote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Mizingo ya hayo magurudumu ilikuwa mirefu kutisha na mizingo ya magurudumu hayo ilikuwa imejaa macho pande zote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kingo za magurudumu zilikuwa ndefu kwenda juu na za kutisha, nazo zote nne zilijawa na macho pande zote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kingo zake zilikuwa ndefu kwenda juu na za kutisha, nazo zote nne zilijawa na macho pande zote. Tazama sura |