Ezekieli 1:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Yalipokwenda yalikwenda pande zote nne; hayakugeuka yalipokwenda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Yaliposogea yalikwenda upande wowote wa pande nne za dira ya dunia bila kugeuka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Yaliposogea yalikwenda upande wowote wa pande nne za dira ya dunia bila kugeuka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Yaliposogea yalikwenda upande wowote wa pande nne za dira ya dunia bila kugeuka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Magurudumu yalipoenda, yalielekea upande mmoja wa pande nne walikoelekea wale viumbe; wale viumbe walipoenda, magurudumu hayakugeuka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Yalipokwenda yalielekea upande wowote wa pande nne walipoelekea wale viumbe, magurudumu hayakuzunguka wakati viumbe vile vilipokwenda. Tazama sura |