Ezekieli 1:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Basi, nilipokuwa nikivitazama wale viumbe hai, tazama, gurudumu moja juu ya nchi, karibu na kila kimoja cha wale viumbe hai, pande zake zote nne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Nilipokuwa nawatazama hao viumbe hai niliona chini karibu na kila kiumbe kulikuwa na gurudumu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Nilipokuwa nawatazama hao viumbe hai niliona chini karibu na kila kiumbe kulikuwa na gurudumu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Nilipokuwa nawatazama hao viumbe hai niliona chini karibu na kila kiumbe kulikuwa na gurudumu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Nilipokuwa nikitazama wale viumbe hai, niliona gurudumu moja juu ya ardhi kando ya kila kiumbe na nyuso zake nne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Nilipokuwa nikitazama vile viumbe hai, niliona gurudumu moja juu ya ardhi kando ya kila kiumbe kikiwa na nyuso zake nne. Tazama sura |