Ezekieli 1:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Nao walikwenda kuelekea mbele, kila mmoja wao; roho ilikotaka kwenda ndiko walikokwenda; hawakugeuka walipokwenda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Popote roho ilipotaka kwenda, walikwenda; kila mmoja wao alikwenda mbele moja kwa moja bila kuugeuza mwili wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Popote roho ilipotaka kwenda, walikwenda; kila mmoja wao alikwenda mbele moja kwa moja bila kuugeuza mwili wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Popote roho ilipotaka kwenda, walikwenda; kila mmoja wao alikwenda mbele moja kwa moja bila kuugeuza mwili wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kila mmoja alienda kuelekea mbele moja kwa moja. Popote roho alipoenda, walienda pasipo kugeuka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kila mmoja alikwenda kuelekea mbele moja kwa moja. Popote roho alipotaka kwenda, ndipo walipokwenda pasipo kugeuka. Tazama sura |