Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Esta G 9:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Hata huko Susa mjini Wayahudi wakawaua watu mia tano, na kuwaangamiza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Huko mjini Susa, Wayahudi waliwaua watu 500. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Huko mjini Susa, Wayahudi waliwaua watu 500. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Hata huko Susa mjini Wayahudi wakawaua watu mia tano, na kuwaangamiza. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA6 Huko mjini Susa, Wayahudi waliwaua watu 500. Tazama sura |