Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Esta G 9:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Amri yake Esta ikayathibitisha mambo hayo ya Purimu; ikaandikwa katika kitabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Amri yake Esta ikathibitisha mambo hayo ya Purimu; ikaandikwa kitabuni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Amri yake Esta ikathibitisha mambo hayo ya Purimu; ikaandikwa kitabuni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI32 Amri yake Esta ikayathibitisha mambo hayo ya Purimu; ikaandikwa katika kitabu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA32 Amri yake Esta ikathibitisha mambo hayo ya Purimu; ikaandikwa kitabuni. Tazama sura |