Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Esta G 9:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Nao Wayahudi wakakubali kufanya kama walivyoanza, na kama Mordekai alivyowaandikia; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Basi, Wayahudi walikubaliana kufanya kama walivyoanza na kama Mordekai alivyowaandikia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Basi, Wayahudi walikubaliana kufanya kama walivyoanza na kama Mordekai alivyowaandikia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Nao Wayahudi wakakubali kufanya kama walivyoanza, na kama Mordekai alivyowaandikia; Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA23 Basi, Wayahudi walikubaliana kufanya kama walivyoanza na kama Mordekai alivyowaandikia. Tazama sura |