Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Esta G 9:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Nao Wayahudi wengine waliokaa katika mikoa ya mfalme walikusanyika, wakayapigania maisha yao, wakajipatia raha mbele ya adui zao, wakawaua waliowachukia, watu elfu sabini na tano; lakini juu ya nyara hawakuweka mikono. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Wayahudi waliokuwa katika mikoa nao pia walijiandaa kuyalinda maisha yao. Wakaokolewa kutoka kwa maadui zao; waliwaua watu wapatao 15,000, lakini hawakuchukua nyara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Wayahudi waliokuwa katika mikoa nao pia walijiandaa kuyalinda maisha yao. Wakaokolewa kutoka kwa maadui zao; waliwaua watu wapatao 15,000, lakini hawakuchukua nyara. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Nao Wayahudi wengine waliokaa katika mikoa ya mfalme walikusanyika, wakayapigania maisha yao, wakajipatia raha mbele ya adui zao, wakawaua waliowachukia, watu elfu sabini na tano; lakini juu ya nyara hawakuweka mikono. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA16 Wayahudi waliokuwa katika mikoa nao pia walijiandaa kuyalinda maisha yao. Wakaokolewa kutoka kwa maadui zao; waliwaua watu wapatao 15,000, lakini hawakuchukua nyara. Tazama sura |