Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Esta G 9:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Siku ile mfalme akaletewa hesabu ya hao waliouawa huko Susa mjini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Siku hiyohiyo, mfalme alijulishwa idadi ya watu waliouawa katika mji mkuu wa Susa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Siku hiyohiyo, mfalme alijulishwa idadi ya watu waliouawa katika mji mkuu wa Susa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Siku ile mfalme akaletewa hesabu ya hao waliouawa huko Susa mjini. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA11 Siku hiyohiyo, mfalme alijulishwa idadi ya watu waliouawa katika mji mkuu wa Susa. Tazama sura |