Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

Esta G 8_1:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Na katika kila mkoa, na kila mji, popote palipowasili amri ya mfalme na mbiu yake, Wayahudi wakapata furaha na shangwe, karamu na sikukuu. Hata wengi wa watu wa nchi wakajifanya Wayahudi, maana waliwaogopa Wayahudi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Katika kila mkoa na kila mji, popote pale tangazo hili liliposomwa, Wayahudi walifurahi na kushangilia, wakafanya sherehe na mapumziko; na watu wengine wengi wakajifanya kuwa Wayahudi, maana waliwaogopa sana Wayahudi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Mara nyingi wale walioko kwenye madaraka wamehusishwa katika umwagaji damu isiyo na hatia na hao rafiki waliopewa mamlaka ya uendeshaji wa shughuli za umma. Na kwa sababu hiyo wamesababisha maafa makubwa ambayo haiwezekani sasa kuyarekebisha.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 Hata mara nyingi wenye mamlaka wamedanganywa na maneno laini ya marafiki waliokabidhiwa kazi za utawala, na hivyo wameishiriki damu ya wasio na hatia na kutiwa katika maafa yasiyo na dawa,

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

17 Mara nyingi wale walioko kwenye madaraka wamehusishwa katika umwagaji damu isiyo na hatia na hao rafiki waliopewa mamlaka ya uendeshaji wa shughuli za umma. Na kwa sababu hiyo wamesababisha maafa makubwa ambayo haiwezekani sasa kuyarekebisha.

Tazama sura Nakili




Esta G 8_1:17
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo


Matangazo