Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Esta G 8_1:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Ikawa nuru na furaha na shangwe na heshima kwa Wayahudi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Hapo Wayahudi waliona fahari, heshima na furaha, wakajisikia wenye nafuu na ushindi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Hawana shukrani kwa yale waliyotendewa na watu, ila, wakiwa wamekumbwa na majivuno ya watu wasiojua ni nini wema, wanadhani wataweza hata kukwepa hukumu ya Mungu achukiaye uovu na aonaye vitu vyote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Si kama huondoa shukrani miongoni mwa watu tu, ila pia huinuliwa kwa maneno makuu ya wapumbavu na kutumaini kuepukana na hukumu ya Mungu ajuaye yote anayeupatiliza uovu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA16 Hawana shukrani kwa yale waliyotendewa na watu, ila, wakiwa wamekumbwa na majivuno ya watu wasiojua ni nini wema, wanadhani wataweza hata kukwepa hukumu ya Mungu achukiaye uovu na aonaye vitu vyote. Tazama sura |