Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

Esta G 8_1:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 Naye Mordekai akatoka usoni pa mfalme, amevaa mavazi ya kifalme, ya rangi ya samawati na nyeupe, mwenye taji kubwa la dhahabu, na joho la kitani safi na rangi ya zambarau. Mji wa Susa wakapaza sauti, wakashangilia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Mordekai alipotoka ikulu kwa mfalme, akiwa amevalia mavazi ya kifalme ya rangi ya urujuani na nyeupe, joho la kitani safi la rangi ya zambarau, na taji kubwa ya dhahabu, mji wa Susa ulijaa shangwe na vigelegele.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Si kwamba wanataka kuwadhuru raia wetu tu, bali, wakiwa hawawezi kuvumilia ufanisi wetu, wanakula njama dhidi ya wafadhili wao.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

15 Kuna wengine ambao wanapozidi kutukuzwa kwa ukarimu wa wafadhili huzidi kutakabari, hata, licha ya kujaribu kuwadhuru raia wetu tu, huanza kufanya mashauri juu ya wafadhili wao wenyewe, kwa sababu hawawezi kuzistahimili fadhili hizo nyingi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

15 Si kwamba wanataka kuwadhuru raia wetu tu, bali, wakiwa hawawezi kuvumilia ufanisi wetu, wanakula njama dhidi ya wafadhili wao.

Tazama sura Nakili




Esta G 8_1:15
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo


Matangazo