Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Esta G 8_1:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Matarishi wakaondoka, wamepanda wanyama wepesi sana waliotumika kwa huduma ya mfalme, huku wakihimizwa na kusukumizwa kwa amri ya mfalme; kukapigwa mbiu huko Susa mjini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kwa amri ya mfalme, matarishi waliopanda farasi wenye nguvu waendao kasi, waliondoka mbio. Tangazo hili pia lilitolewa katika mji mkuu, Susa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 “Watu wengi, kwa kadiri wanavyoheshimiwa na kupewa upendeleo mwingi na wakubwa wao, ndivyo wanavyozidi kuwa na kiburi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Mfalme mkuu Artashasta kwa watawala wa nchi katika majimbo mia moja ishirini na saba toka Bara Hindi hata Kushi, na kwa wale wanaoupenda ufalme wetu, salamu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA14 “Watu wengi, kwa kadiri wanavyoheshimiwa na kupewa upendeleo mwingi na wakubwa wao, ndivyo wanavyozidi kuwa na kiburi. Tazama sura |