Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Esta G 8_1:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Nakala ya andiko, ya kupigwa mbiu katika kila jimbo, ilitangazwa kwa mataifa yote, na kwa Wayahudi, wawe tayari siku ile ile kujilipiza kisasi juu ya adui zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Nakala za tangazo hili ambalo lilitolewa kama sheria katika kila mkoa zilisambazwa kwa kila mtu katika kila mkoa, ili Wayahudi wajiandae kulipiza kisasi siku hiyo ifikapo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Ifuatayo ni nakala ya agizo hilo: “Kutoka kwa mfalme mkuu Ahasuero, kwa wakuu wa mikoa 127, inayoenea tangu India mpaka Ethiopia, na kwa wote walio watiifu kwa serikali yetu. Salamu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Haya ndiyo maneno ya barua: Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA13 Ifuatayo ni nakala ya agizo hilo: “Kutoka kwa mfalme mkuu Ahasuero, kwa wakuu wa mikoa 127, inayoenea tangu India mpaka Ethiopia, na kwa wote walio watiifu kwa serikali yetu. Salamu. Tazama sura |