Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Esta G 6:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Basi watumishi wa mfalme wakamwambia, Tazama, Hamani yupo, amesimama behewani. Mfalme akasema, Na aingie. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Basi, watumishi wakamjibu mfalme, “Hamani yuko uani.” Mfalme akasema, “Mkaribishe ndani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Basi, watumishi wakamjibu mfalme, “Hamani yuko uani.” Mfalme akasema, “Mkaribishe ndani.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Basi watumishi wa mfalme wakamwambia, Tazama, Hamani yupo, amesimama behewani. Mfalme akasema, Na aingie. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA5 Basi, watumishi wakamjibu mfalme, “Hamani yuko uani.” Mfalme akasema, “Mkaribishe ndani.” Tazama sura |