Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Esta G 4:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Basi Hathaki akaja, akamwambia Esta maneno ya Mordekai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Hathaki akaenda akamweleza Esta yote aliyosema Mordekai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Hathaki akaenda akamweleza Esta yote aliyosema Mordekai. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Basi Hathaki akaja, akamwambia Esta maneno ya Mordekai. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA9 Hathaki akaenda akamweleza Esta yote aliyosema Mordekai. Tazama sura |