Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Esta G 4:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Basi yule Hathaki akatoka nje kumwendea Mordekai kwenye uwanda wa mji ulipo mbele ya mlango wa mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Hathaki alimwendea Mordekai uwanjani, mbele ya lango la ikulu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Hathaki alimwendea Mordekai uwanjani, mbele ya lango la ikulu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Basi yule Hathaki akatoka nje kumwendea Mordekai kwenye uwanda wa mji ulipo mbele ya mlango wa mfalme. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA6 Hathaki alimwendea Mordekai uwanjani, mbele ya lango la ikulu. Tazama sura |