Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Esta G 4:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Basi Mordekai alipojua mambo yote yaliyofanyika, alizirarua nguo zake, akajivika gunia na kujipaka majivu, akatoka hadi katikati ya mji, akalia kwa sauti kuu ya uchungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mordekai alipojua yote yaliyotukia, alizirarua nguo zake, akavaa vazi la gunia, na kujitia majivu. Kisha, akapita katikati ya mji akilia kwa sauti kubwa: “Taifa lisilo na hatia linaangamizwa!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mordekai alipojua yote yaliyotukia, alizirarua nguo zake, akavaa vazi la gunia, na kujitia majivu. Kisha, akapita katikati ya mji akilia kwa sauti kubwa: “Taifa lisilo na hatia linaangamizwa!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Basi Mordekai alipojua mambo yote yaliyofanyika, alizirarua nguo zake, akajivika gunia na kujipaka majivu, akatoka hadi katikati ya mji, akalia kwa sauti kuu ya uchungu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA1 Mordekai alipojua yote yaliyotukia, alizirarua nguo zake, akavaa vazi la gunia, na kujitia majivu. Kisha, akapita katikati ya mji akilia kwa sauti kubwa: “Taifa lisilo na hatia linaangamizwa!” Tazama sura |