Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Esta G 3_1:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Nakala ya andiko hilo ilitakiwa kutolewa katika kila mkoa, ili kuwaarifu watu wote wajiandae kwa ajili ya siku hiyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Taarifa hiyo ilitakiwa ibandikwe hadharani katika kila mkoa, ili kila mtu ajiandae kwa ajili ya siku hiyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Hii ni nakala ya barua hiyo, “Mfalme mkuu Ahasuero anawatumia barua ifuatayo wakuu wa mikoa yake 127, inayoenea tangu India hadi Ethiopia, pamoja na wakuu walio chini yao: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Hii ndiyo nakala ya barua: Mfalme mkuu Artashasta anayaandika maneno haya kwa wakuu wa majimbo mia moja ishirini na saba, toka Bara Hindi hadi Kushi, na kwa maofisa walio chini yao: Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA14 Hii ni nakala ya barua hiyo, “Mfalme mkuu Ahasuero anawatumia barua ifuatayo wakuu wa mikoa yake 127, inayoenea tangu India hadi Ethiopia, pamoja na wakuu walio chini yao: Tazama sura |