Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

Esta G 3:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Basi mwezi wa kwanza, ndio mwezi wa Nisani, mwaka wa kumi na mbili wa mfalme Ahasuero, wakapiga Puri, yaani kura, mbele yake Hamani; siku kwa siku, na mwezi kwa mwezi, hadi mwezi wa kumi na mbili, ndio mwezi wa Adari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Katika mwaka wa kumi na mbili wa utawala wa mfalme Ahasuero, mnamo mwezi wa kwanza uitwao Nisani, kura, yaani Puri ikawa inapigwa ili kumpatia Hamani siku na mwezi ambapo angetekeleza njama zake. Basi kura yenyewe ikaangukia siku ya kumi na nane mwezi wa kumi na mbili uitwao Adari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Katika mwaka wa kumi na mbili wa utawala wa mfalme Ahasuero, mnamo mwezi wa kwanza uitwao Nisani, kura, yaani Puri ikawa inapigwa ili kumpatia Hamani siku na mwezi ambapo angetekeleza njama zake. Basi kura yenyewe ikaangukia siku ya kumi na nane mwezi wa kumi na mbili uitwao Adari.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

7 Basi mwezi wa kwanza, ndio mwezi wa Nisani, mwaka wa kumi na mbili wa mfalme Ahasuero, wakapiga Puri, yaani kura, mbele yake Hamani; siku kwa siku, na mwezi kwa mwezi, hadi mwezi wa kumi na mbili, ndio mwezi wa Adari.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

7 Katika mwaka wa kumi na mbili wa utawala wa mfalme Ahasuero, mnamo mwezi wa kwanza uitwao Nisani, kura, yaani Puri ikawa inapigwa ili kumpatia Hamani siku na mwezi ambapo angetekeleza njama zake. Basi kura yenyewe ikaangukia siku ya kumi na nane mwezi wa kumi na mbili uitwao Adari.

Tazama sura Nakili

Esta G 3:7
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo