Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Esta G 3:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Hata Hamani alipoona ya kwamba Mordekai hamwinamii wala kumsujudia, alighadhibika sana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Hamani aliwaka hasira alipojua kwamba Mordekai hamwinamii wala hamsujudii. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Hamani aliwaka hasira alipojua kwamba Mordekai hamwinamii wala hamsujudii. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Hata Hamani alipoona ya kwamba Mordekai hamwinamii wala kumsujudia, alighadhibika sana. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA5 Hamani aliwaka hasira alipojua kwamba Mordekai hamwinamii wala hamsujudii. Tazama sura |