Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili Esta G 3:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Ndipo mfalme alipoivua pete yake ya kupigia mhuri kutoka mkononi, akampa Hamani mwana wa Hamedatha, Mwagagi, adui ya Wayahudi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mfalme akaivua pete yake, ambayo ilitumiwa kupigia mhuri matangazo, akampa adui wa Wayahudi, Hamani mwana wa Hamedatha wa uzao wa Agagi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mfalme akaivua pete yake, ambayo ilitumiwa kupigia mhuri matangazo, akampa adui wa Wayahudi, Hamani mwana wa Hamedatha wa uzao wa Agagi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Ndipo mfalme alipoivua pete yake ya kupigia mhuri kutoka mkononi, akampa Hamani mwana wa Hamedatha, Mwagagi, adui ya Wayahudi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA10 Mfalme akaivua pete yake, ambayo ilitumiwa kupigia mhuri matangazo, akampa adui wa Wayahudi, Hamani mwana wa Hamedatha wa uzao wa Agagi. Tazama sura |