Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Esta 9:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

23 Nao Wayahudi wakakubali kufanya kama walivyoanza, na kama Mordekai alivyowaandikia;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Basi, Wayahudi walikubaliana kufanya kama walivyoanza na kama Mordekai alivyowaandikia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Basi, Wayahudi walikubaliana kufanya kama walivyoanza na kama Mordekai alivyowaandikia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Basi, Wayahudi walikubaliana kufanya kama walivyoanza na kama Mordekai alivyowaandikia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Hivyo Wayahudi walikubali kuendeleza sherehe walizokuwa wamezianza, wakifanya lile Mordekai alilokuwa amewaandikia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Hivyo Wayahudi walikubali kuendeleza sherehe walizokuwa wamezianza, wakifanya lile Mordekai alilokuwa amewaandikia.

Tazama sura Nakili

Esta 9:23
2 Marejeleo ya Msalaba  

siku ambazo Wayahudi walijipatia raha mbele ya adui zao, na mwezi uliogeuzwa kwao kuwa furaha badala ya huzuni, na kuwa sikukuu badala ya kilio; wazifanye siku hizo ziwe za karamu na furaha, za kupeana zawadi na za kuwapa maskini tunu.

kwa sababu Hamani mwana wa Hamedatha, Mwagagi, adui ya Wayahudi wote, alikuwa amefanya shauri juu ya Wayahudi ili kuwaangamiza, akapiga Puri, yaani kura, ili kuwakomesha na kuwaangamiza pia;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo