Esta 9:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Siku ile mfalme akaletewa hesabu ya hao waliouawa huko Susa mjini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Siku hiyohiyo, mfalme alijulishwa idadi ya watu waliouawa katika mji mkuu wa Susa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Siku hiyohiyo, mfalme alijulishwa idadi ya watu waliouawa katika mji mkuu wa Susa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Siku hiyohiyo, mfalme alijulishwa idadi ya watu waliouawa katika mji mkuu wa Susa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Mfalme aliarifiwa siku hiyo hiyo hesabu ya waliouawa katika ngome ya Shushani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Mfalme aliarifiwa siku iyo hiyo hesabu ya waliouawa katika ngome ya Shushani. Tazama sura |