Esta 8:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Ikawa nuru na furaha na shangwe na heshima kwa Wayahudi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Hapo Wayahudi waliona fahari, heshima na furaha, wakajisikia wenye nafuu na ushindi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Hapo Wayahudi waliona fahari, heshima na furaha, wakajisikia wenye nafuu na ushindi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Hapo Wayahudi waliona fahari, heshima na furaha, wakajisikia wenye nafuu na ushindi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kwa maana kwa Wayahudi ulikuwa wakati wa raha na furaha, shangwe na heshima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kwa maana kwa Wayahudi ulikuwa wakati wa raha na furaha, shangwe na heshima. Tazama sura |