Esta 5:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Mfalme akamwambia, malkia Esta, unataka nini? Nayo ni haja gani uliyo nayo? Utapewa hata nusu ya ufalme. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Hapo mfalme akauliza, “Unataka nini Esta? Niambie unachotaka, nawe utapata – hata kama ni nusu ya ufalme wangu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Hapo mfalme akauliza, “Unataka nini Esta? Niambie unachotaka, nawe utapata – hata kama ni nusu ya ufalme wangu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Hapo mfalme akauliza, “Unataka nini Esta? Niambie unachotaka, nawe utapata — hata kama ni nusu ya ufalme wangu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kisha mfalme aliuliza, “Malkia Esta, ni nini? Ombi lako ni nini? Hata kama ni nusu ya ufalme, utapewa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kisha mfalme aliuliza, “Malkia Esta, ni nini? Ombi lako ni nini? Hata kama ni nusu ya ufalme, utapewa.” Tazama sura |