Esta 3:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Hata Hamani alipoona ya kwamba Mordekai hamwinamii wala kumsujudia, alighadhibika sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Hamani aliwaka hasira alipojua kwamba Mordekai hamwinamii wala hamsujudii. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Hamani aliwaka hasira alipojua kwamba Mordekai hamwinamii wala hamsujudii. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Hamani aliwaka hasira alipojua kwamba Mordekai hamwinamii wala hamsujudii. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Hamani alipoona kuwa Mordekai hampigii magoti wala kumpa heshima, alighadhibika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Wakati Hamani alipoona kuwa Mordekai hampigii magoti wala kumpa heshima alighadhibika. Tazama sura |