Esta 3:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Nakala ya andiko hilo ilitakiwa kutolewa katika kila mkoa, ili kuwaarifu watu wote wajiandae kwa ajili ya siku hiyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Taarifa hiyo ilitakiwa iandikwe hadharani katika kila mkoa, ili kila mtu ajiandae kwa ajili ya siku hiyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Taarifa hiyo ilitakiwa iandikwe hadharani katika kila mkoa, ili kila mtu ajiandae kwa ajili ya siku hiyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Taarifa hiyo ilitakiwa iandikwe hadharani katika kila mkoa, ili kila mtu ajiandae kwa ajili ya siku hiyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Nakala ya andiko la amri ilipaswa kutolewa kama sheria katika kila jimbo, na kufahamishwa kwa watu wa kila taifa ili waweze kuwa tayari kwa siku ile. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Nakala ya andiko la amri ilipaswa kutolewa kama sheria katika kila jimbo, na kufahamishwa kwa watu wa kila taifa ili waweze kuwa tayari kwa siku ile. Tazama sura |