Esta 2:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Basi Mordekai akapata kulijua jambo hilo, naye akamjulisha Esta, malkia; naye Esta akamwambia mfalme habari hiyo kwa jina la Mordekai. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Mordekai aliingamua njama hiyo, akamjulisha malkia Esta, naye Esta akampasha habari mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Mordekai aliingamua njama hiyo, akamjulisha malkia Esta, naye Esta akampasha habari mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Mordekai aliing'amua njama hiyo, akamjulisha malkia Esta, naye Esta akampasha habari mfalme. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Lakini Mordekai aligundua hila hii na kumwambia Malkia Esta, ambaye baadaye alimwarifu mfalme, huku akimsifu Mordekai. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Lakini Mordekai aligundua hila hii na kumwambia Malkia Esta, ambaye baadaye alimwarifu mfalme, huku akimsifu Mordekai. Tazama sura |