Esta 1:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Akawaonesha utajiri wa ufalme wake mtukufu, na heshima ya enzi yake bora siku nyingi, yaani siku mia moja na themanini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Basi, kwa muda wa miezi sita, Ahasuero akaonesha utajiri wa ufalme wake mtukufu, na fahari ya utawala wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Basi, kwa muda wa miezi sita, Ahasuero akaonesha utajiri wa ufalme wake mtukufu, na fahari ya utawala wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Basi, kwa muda wa miezi sita, Ahasuero akaonesha utajiri wa ufalme wake mtukufu, na fahari ya utawala wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kwa muda wa siku mia moja na themanini mfalme alionesha utajiri mwingi wa ufalme wake, fahari na utukufu wa enzi yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kwa siku zote 180 mfalme alionyesha utajiri mwingi wa ufalme wake, fahari na utukufu wa enzi yake. Tazama sura |