Esta 1:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 siku zile mfalme Ahasuero alipoketi katika kiti cha enzi cha ufalme wake, huko Susa, mji mkuu ngomeni; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Kiti chake cha enzi kilikuwa katika mji mkuu Susa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Kiti chake cha enzi kilikuwa katika mji mkuu Susa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Kiti chake cha enzi kilikuwa katika mji mkuu Susa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Wakati huo Mfalme Ahasuero alitawala kwenye kiti chake cha ufalme katika ngome ya mji wa Shushani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Wakati huo Mfalme Ahasuero alitawala katika kiti chake cha enzi katika ngome ya mji wa Shushani. Tazama sura |