Danieli 9:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Nikamwelekezea Bwana Mungu uso wangu, ili kusihi kwa maombi, na dua, pamoja na kufunga, na kuvaa nguo za magunia na majivu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Nilimwomba Mwenyezi-Mungu, kwa moyo, nikimtolea dua pamoja na kufunga, nikavaa vazi la gunia na kuketi kwenye majivu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Nilimwomba Mwenyezi-Mungu, kwa moyo, nikimtolea dua pamoja na kufunga, nikavaa vazi la gunia na kuketi kwenye majivu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Nilimwomba Mwenyezi-Mungu, kwa moyo, nikimtolea dua pamoja na kufunga, nikavaa vazi la gunia na kuketi kwenye majivu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kwa hiyo nikamgeukia Mwenyezi Mungu na kumsihi katika maombi na dua, katika kufunga, na kuvaa gunia na kujipaka majivu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kwa hiyo nikamgeukia bwana Mwenyezi Mungu na kumsihi katika maombi na dua, katika kufunga, na kuvaa nguo ya gunia na kujipaka majivu. Tazama sura |