Danieli 9:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Basi BWANA anayachungulia mabaya hayo, akatuletea; maana BWANA, Mungu wetu ni mwenye haki katika kazi zake zote azitendazo; na sisi hatukuitii sauti yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Kwa hiyo, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ulikuwa tayari kutuadhibu, na ukafanya hivyo, kwa kuwa daima unafanya yaliyo ya haki, nasi hatukukusikiliza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kwa hiyo, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ulikuwa tayari kutuadhibu, na ukafanya hivyo, kwa kuwa daima unafanya yaliyo ya haki, nasi hatukukusikiliza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kwa hiyo, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ulikuwa tayari kutuadhibu, na ukafanya hivyo, kwa kuwa daima unafanya yaliyo ya haki, nasi hatukukusikiliza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Mwenyezi Mungu hakusita kuleta maafa juu yetu, kwa maana Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, ni mwenye haki katika kila afanyalo; lakini hata hivyo, hatujamtii. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 bwana hakusita kuleta maafa juu yetu, kwa maana bwana Mwenyezi Mungu wetu ni mwenye haki katika kila afanyalo; lakini hata hivyo hatujamtii. Tazama sura |