Danieli 6:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Basi wale mawaziri na viongozi wakakusanyika pamoja mbele ya mfalme, wakamwambia hivi, Mfalme Dario, uishi milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Basi, hao wakuu na maliwali kwa pamoja, wakamwendea mfalme na kumwambia, “Uishi ee mfalme Dario! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Basi, hao wakuu na maliwali kwa pamoja, wakamwendea mfalme na kumwambia, “Uishi ee mfalme Dario! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Basi, hao wakuu na maliwali kwa pamoja, wakamwendea mfalme na kumwambia, “Uishi ee mfalme Dario! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Basi wasimamizi na wakuu wakaingia kwa mfalme kama kikundi, wakasema, “Ee Mfalme Dario, uishi milele! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Basi wasimamizi na wakuu wakaingia kwa mfalme kama kikundi wakasema, “Ee Mfalme Dario, uishi milele! Tazama sura |